\v=3 \v~=Katika eneo takatifu, pima sehemu yenye urefu wa dhiraa 25,000 na upana wa dhiraa 10,000.\f + \fr 45:3 \ft Dhiraa 10,000 ni sawa na kilomita 4.5.\f* Ndani ya hilo eneo kutakuwa mahali patakatifu, Patakatifu pa Patakatifu. \¬v