\v=4 \v~=Itakuwa sehemu takatifu ya nchi kwa ajili ya makuhani, wale wanaohudumu ndani ya mahali patakatifu na ambao hukaribia ili kuhudumu mbele za \nd Bwana\nd*. Patakuwa mahali pa nyumba zao pamoja na sehemu kwa ajili ya mahali patakatifu. \¬v