\p \v=6 \v~=“ ‘Utatoa mji kama mali yao wenye upana wa dhiraa 5,000\f + \fr 45:6 \ft Dhiraa 5,000 ni sawa na kilomita 2.25.\f* na urefu wa dhiraa 25,000, karibu na sehemu takatifu, itakuwa mali ya nyumba yote ya Israeli. \¬v \¬p