\p \v=9 \v~=“ ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Yatosha, enyi wakuu wa Israeli! Acheni mbali ukatili wenu na uonevu wenu mkafanye lile lililo haki na sawa. Acheni kuwatoza watu wangu isivyo haki, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi. \¬v