\p \v=13 \v~=“ ‘Kila siku utamtoa mwana-kondoo wa mwaka mmoja asiyekuwa na dosari kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa kwa \nd Bwana\nd*, utaitoa kila siku asubuhi. \¬v