\v=14 \v~=Pia kila siku asubuhi pamoja na hiyo sadaka utatoa sadaka ya nafaka, ikiwa na sehemu ya sita ya efa pamoja na theluthi moja ya hini\f + \fr 46:14 \ft Theluthi moja ya hini ni sawa na lita 1.3.\f* ya mafuta ya kuchanganya na ule unga. Utoaji wa sadaka hii ya nafaka kwa \nd Bwana\nd* ni amri ya daima. \¬v