\v=4 \v~=Sadaka ya kuteketezwa aletazo mkuu anayetawala kwa \nd Bwana\nd* siku ya Sabato itakuwa ni wana-kondoo sita na kondoo dume mmoja, wote wasiwe na dosari. \¬v