\v=10 \v~=Wavuvi watasimama kando ya bahari, kuanzia En-Gedi hadi En-Eglaimu huko patakuwa mahali pa kutandaza nyavu za kuvulia samaki. Samaki watakuwa wa aina nyingi, kama samaki wa Bahari Kuu\f + \fr 47:10 \ft Bahari Kuu hapa ina maana ya Bahari ya Mediterania.\f* \¬v