\li1 \v=18 \v~=Upande wa mashariki mpaka utapita kati ya Haurani na Dameski, kuambaa Yordani na kati ya Gileadi na nchi ya Israeli, hadi bahari ya mashariki\f + \fr 47:18 \ft Bahari ya mashariki hapa ina maana ya Bahari ya Chumvi.\f* na kufika Tamari. Huu utakuwa ndio mpaka wa mashariki. \¬v \¬li1