\p \v=3 \v~=Mtu yule alipokwenda upande wa mashariki akiwa na kamba ya kupimia mkononi mwake, akapima dhiraa 1,000\f + \fr 47:3 \ft Dhiraa 1,000 ni sawa na mita 450.\f* kisha akanipitisha kwenye hayo maji ambayo yalifika kwenye vifundo vya miguu. \¬v