\p \v=8 \v~=Akaniambia, “Haya maji yanatiririka kuelekea nchi ya mashariki na kushuka mpaka Araba,\f + \fr 47:8 \ft Araba hapa ina maana ya Bonde la Yordani.\f* ambapo huingia Baharini. Yanapomwagikia kwenye hiyo Bahari,\f + \fr 47:8 \ft Bahari hapa ina maana ya Bahari ya Chumvi.\f* maji yaliyoko humo huponywa na kuwa safi. \¬v