\p \v=15 \v~=“Eneo linalobaki lenye upana wa dhiraa 5,000\f + \fr 48:15 \ft Dhiraa 5,000 ni sawa na kilomita 2.25.\f* na urefu wa dhiraa 25,000, litakuwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya mji, kwa ajili ya ujenzi wa nyumba na malisho. Mji utakuwa katikati yake \¬v