\v=16 \v~=nao utakuwa na vipimo hivi: upande wa kaskazini dhiraa 4,500,\f + \fr 48:16 \ft Dhiraa 4,500 ni sawa na kilomita 2.025.\f* upande wa kusini dhiraa 4,500, upande wa mashariki dhiraa 4,500 na upande wa magharibi dhiraa 4,500. \¬v