\v=17 \v~=Sehemu ya malisho kwa ajili ya mji itakuwa na eneo la dhiraa 250\f + \fr 48:17 \ft Dhiraa 250 ni sawa na sentimita 112.5.\f* upande wa kaskazini, dhiraa 250 upande wa kusini, dhiraa 250 upande wa mashariki na dhiraa 250 upande wa magharibi. \¬v