\p \v=28 \v~=“Mpaka wa kusini wa Gadi utapita kusini kuanzia Tamari hadi maji ya Meriba-Kadeshi, kisha kupitia upande wa Kijito cha Misri hadi Bahari Kuu.\f + \fr 48:28 \ft Bahari Kuu hapa ina maana ya Bahari ya Mediterania.\f* \¬v \¬p