\p \v=9 \v~=“Hiyo sehemu maalum mtakayotoa kwa \nd Bwana\nd* itakuwa na urefu wa dhiraa 25,000 na upana wa dhiraa 10,000\f + \fr 48:9 \ft Dhiraa 10,000 ni sawa na kilomita 4.5.\f* \¬v