\v=10 \v~=Pima shekeli ishirini\f + \fr 4:10 \ft Shekeli 20 ni sawa na gramu 200.\f* za chakula utakachokula kwa kila siku, nawe utakula kwa wakati uliopangwa. \¬v