\v=13 \v~=\nd Bwana\nd* akasema, “Hivi ndivyo watu wa Israeli watakavyokula chakula kilicho najisi miongoni mwa mataifa ninakowapeleka.” \¬v \¬p