\v=11 \v~=Kwa hiyo hakika kama niishivyo, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi, kwa kuwa mmenajisi mahali pangu patakatifu kwa sanamu zenu mbaya sana na desturi zenu za machukizo, mimi mwenyewe nitaondoa fadhili zangu kwenu. \¬v