\p \v=13 \v~=“Ndipo hasira yangu itakapokoma na ghadhabu yangu dhidi yao itatulia, nami nitakuwa nimelipiza kisasi. Baada ya kuimaliza ghadhabu yangu juu yao, watajua kuwa mimi \nd Bwana\nd* nimenena katika wivu wangu. \¬v \¬p