\p \v=5 \v~=“Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Huu ndio Yerusalemu ambao nimeuweka katikati ya mataifa ukiwa umezungukwa na nchi pande zote. \¬v