\p \v=7 \v~=“Kwa hiyo hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Ninyi mmekuwa wakaidi kuliko mataifa yanayowazunguka na hamkufuata amri zangu wala kuzishika sheria zangu. Wala hamkuweza hata kuzifuata kawaida za mataifa yanayowazunguka. \¬v \¬p