\p \v=8 \v~=“Kwa hiyo, hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo, Mimi mwenyewe, niko kinyume nanyi Yerusalemu, nitawapiga kwa adhabu yangu mbele ya mataifa. \¬v