\v=10 \v~=Nao watajua kuwa Mimi ndimi \nd Bwana\nd*, sikuwaonya bure kuwa nitaleta maafa hayo yote juu yao. \¬v \¬p