\v=9 \v~=Sitawaonea huruma wala sitawarehemu; nitawalipiza sawasawa na matendo yenu na desturi zenu za machukizo miongoni mwenu. Ndipo mtajua kuwa Mimi ndimi \nd Bwana\nd* ambaye huwapiga kwa mapigo. \¬v \¬p