\p \v=14 \v~=Ndipo akanileta mpaka ingilio la lango la kaskazini la nyumba ya \nd Bwana\nd*, nami nikaona wanawake wameketi hapo, wakimwombolezea Tamuzi. \¬v