\p \v=7 \v~=Kisha akanileta mpaka ingilio la ukumbi. Nikatazama, nami nikaona tundu ukutani. \¬v