\p \v=9 \v~=\nd Bwana\nd* akanijibu, “Dhambi ya nyumba ya Israeli na Yuda imekuwa kubwa mno kupita kiasi, nchi imejaa umwagaji damu na mjini kumejaa udhalimu. Kwani wamesema, ‘\nd Bwana\nd* ameiacha nchi, \nd Bwana\nd* hauoni.’ \¬v