\s1=Orodha Ya Watu Waliorudi Kutoka Uhamishoni \r=(Nehemia 7:4-73) \list \li4 \c#=2 \v=1 \v~=Basi hawa ndio watu wa jimbo waliotoka uhamishoni, ambao Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa amewachukua mateka hadi Babeli (walirudi Yerusalemu na Yuda, kila mmoja kwenye mji wake, \¬v