\p \v=68 \v~=Walipofika kwenye nyumba ya \nd Bwana\nd* huko Yerusalemu, baadhi ya viongozi wa jamaa walitoa sadaka za hiari kwa ajili ya kujenga upya nyumba ya Mungu katika eneo lake. \¬v