\v=69 \v~=Wakatoa kwa kadiri ya uwezo wao na kutia katika hazina darkoni 61,000\f + \fr 2:69 \ft Darkoni 61,000 za dhahabu ni sawa na kilo 500.\f* za dhahabu, mane 5,000\f + \fr 2:69 \ft Mane 5,000 za fedha ni sawa na kilo 2,900.\f* za fedha, na mavazi 100 ya ukuhani kwa ajili ya kazi hiyo. \¬v \¬p