\p \v=10 \v~=Wajenzi walipoweka msingi wa Hekalu la \nd Bwana\nd*, makuhani wakiwa wamevalia mavazi yao wakiwa na tarumbeta na Walawi (wana wa Asafu) wakiwa na matoazi, walishika nafasi zao za kumtukuza \nd Bwana\nd*, kama ilivyoagizwa na Daudi mfalme wa Israeli. \¬v