\v=3 \v~=Ingawa waliwaogopa watu waliowazunguka, walijenga madhabahu juu ya ule msingi wake, wakamtolea \nd Bwana\nd* dhabihu za sadaka za kuteketezwa kwa moto juu yake za asubuhi na za jioni. \¬v