\v=5 \v~=Baada ya hayo, walitoa sadaka za kuteketezwa za kawaida, sadaka za Mwezi Mwandamo na dhabihu zote za sikukuu takatifu za \nd Bwana\nd* zilizoamriwa, pamoja na zile sadaka za hiari zilizotolewa kwa \nd Bwana\nd*. \¬v