\v=6 \v~=Ingawa bado msingi wa Hekalu la \nd Bwana\nd* ulikuwa haujawekwa, watu walianza kutoa sadaka za kuteketezwa kwa moto kwa \nd Bwana\nd* tangu siku ya kwanza ya mwezi wa saba. \¬v \¬p