\v=10 \v~=na watu wengine ambao mheshimiwa Asur-Banipali\f + \fr 4:10 \ft Yaani Osnapali au Asnapali kwa Kiaramu.\f* aliwahamisha na kuwakalisha katika mji wa Samaria na mahali pengine Ngʼambo ya Mto Frati. \¬v \¬pmo