\v=7 \v~=Pia baadhi ya Waisraeli, wakiwemo makuhani, Walawi, waimbaji, mabawabu na watumishi wa Hekalu,\f + \fr 7:7 \ft Yaani \fqa Wanethini\fqa* (pia 7:24).\f* nao walikuja Yerusalemu mwaka wa saba wa utawala wa Mfalme Artashasta. \¬v \¬p