\v=17 \v~=nikawatuma kwa Ido kiongozi huko Kasifia. Niliwaambia watakayomwambia Ido na ndugu zake, watumishi wa Hekalu\f + \fr 8:17 \ft Yaani \fqa Wanethini\fqa* (pia 8:20).\f* huko Kasifia, ili waweze kutuletea wahudumu kwa ajili ya nyumba ya Mungu wetu. \¬v