\p \v=28 \v~=Niliwaambia, “Ninyi pamoja na vyombo hivi ni wakfu kwa \nd Bwana\nd*. Fedha na dhahabu ni sadaka ya hiari kwa \nd Bwana\nd*, Mungu wa baba zenu. \¬v