\pm \v=8 \v~=“Lakini sasa, kwa muda mfupi, \nd Bwana\nd* Mungu wetu amekuwa na neema kwa kutuachia mabaki na kutupa mahali imara katika mahali pake patakatifu, hivyo Mungu wetu atupa mwanga machoni petu na unafuu katika utumwa wetu. \¬v