\p \v=18 \v~=Kisha baada ya miaka mitatu nilipanda kwenda Yerusalemu kuonana na Kefa\f + \fr 1:18 \ft Yaani Petro.\f* na nilikaa naye siku kumi na tano. \¬v