\v=9 \v~=Basi, Yakobo, Kefa\f + \fr 2:9 \ft Yaani Petro, pia mstari 11, 14.\f* na Yohana, walioonekana kama nguzo za kanisa, walitupa mkono wa shirika, mimi na Barnaba walipotambua ile neema niliyopewa. Wakakubali kwamba sisi twende kwa watu wa Mataifa na wao waende kwa Wayahudi. \¬v