\v=9 \v~=Alikuwa mwindaji hodari mbele za \nd Bwana\nd*. Ndiyo sababu watu husema, “Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda mbele za \nd Bwana\nd*.” \¬v