\v=2 \v~=Watu walipoelekea upande wa mashariki, wakafika kwenye tambarare katika nchi ya Shinari\f + \fr 11:2 \ft Shinari ndio Babeli.\f* nao wakaishi huko. \¬v \¬p