\p \v=8 \v~=Hivyo \nd Bwana\nd* akawatawanya kutoka mahali pale kwenda katika dunia yote, nao wakaacha kuujenga huo mji. \¬v