\p \v=17 \v~=Lakini \nd Bwana\nd* akamwadhibu Farao na nyumba yake kwa maradhi ya kufisha kwa sababu ya kumchukua Sarai, mke wa Abramu. \¬v