\p \v=4 \v~=Hivyo Abramu akaondoka kama \nd Bwana\nd* alivyokuwa amemwambia; naye Loti akaondoka pamoja naye. Wakati Abramu alipoitwa aondoke Harani, alikuwa na miaka sabini na mitano. \¬v