\v=7 \v~=\nd Bwana\nd* akamtokea Abramu, akamwambia, “Nitawapa uzao wako nchi hii.” Hivyo hapa akamjengea madhabahu \nd Bwana\nd* aliyekuwa amemtokea. \¬v \¬p