\p \v=10 \v~=Loti akatazama akaona lile bonde lote la Yordani kuwa lilikuwa na maji tele, kama bustani ya \nd Bwana\nd*, kama nchi ya Misri, kuelekea Soari. (Hii ilikuwa kabla \nd Bwana\nd* hajaharibu Sodoma na Gomora.) \¬v