\p \v=14 \v~=Baada ya Loti kuondoka \nd Bwana\nd* akamwambia Abramu, “Ukiwa hapo ulipo, inua macho yako utazame kaskazini na kusini, mashariki na magharibi. \¬v